R.O.M.A "APOTEZWA" KIAINA..

Msanii nguli na rapper wa bongo hip hop mwenye punch line kali
ROMA jana alipotea ghafla katika studio ya tongwe records , ambapo inasemekana yeye pamoja na msaniimwingine wa kike walichuliwa na watu wasiojulikana na kupelekwa mahali pasipo fahamika mpaka sasa, hayo pia yamethibitishwa na mke wa ROMA kwamba "mumewe" hakurudi nyumbani mpaka sasa na simu yake haipakani, Hiki ni kitendawili kisicho na mteguaji mpaka sasa zaidi ya kusubiri kupatikana kwake ROMA mwenuyewe ili aseme ni watu gani waliomchukua ni akina nani na walimpelekea wapi.. stay tune 

Comments

Popular posts from this blog

MAN U YAZIDI KUPAA KUIFUKUZIA TOP 4