MAN U YAZIDI KUPAA KUIFUKUZIA TOP 4
Jana jumapili ligi kuu ya EPL iliendelea kutimua vumbi katika viwanja viwili tofauti.
Huku mchezo wa mapema kabisa ukipigwa katika dimba la Sundeland
Mchezo mwingine hiyo jana ulikuwa kati ya Everton ambao bado wanapambana vizuri dhidi ya mabingwa watetezi ambao kama wameamka toka usingizini baada ya kushinda mechi mfululizo, lakii Everton waliwaonyesha kazi baadaa ya kuibuka washindi kwa jumla ya Goli 4-2, Lukaku peke yake akitupia wavuni goli na hivyo kuzidi kung'ang'ania kileleni katika orodha ya wafungaji bora Epl akiwa amefikisha magoli 23 akifuatiwa na Hanry Kane wa Spurz... Leo pia EPL itaendelea kwa mchezo mmoja ambapo Arsenal watakuwa wageni wa Crystal Palace.. Ninikitajili? stay tunned


Comments
Post a Comment